ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Anapata faida gani kwa kufanya hivyo?Huyo bwana Penseli ana id Chiwawa hamfikii..!!
Ndo anayesambaza pic na price tag huko pm 😹😹
Mfano anachukua pic ya Lamomy anatuma na maelezo ni winga kkoo anauza vijora, JF bwanaake ……… Hapo anakuwekea mtu mnayetaniana. Kisha anasema ukiwa na kiasi kadhaa umempata..!!
Kama uliwahi kuweka contact zako basi anarahisisha mambo anakujazia na namba zako za simu kwenye profile yako..!! 😹😹😹
Chivundu fanya jambo Heaven baby aponeUnazidi kunitamanisha ujue 😹
Hebu tuoneUlipitwa
Atuharibie tu 😹Anapata faida gani kwa kufanya hivyo?
Haha Kila mda na refresh ujue😹😹 Basi nakuja jamani mpk unaniita jina langu la utoto khaaaa..!!
Heaven baby 😅😅😅 we nomaAtuharibie tu 😹
Siku hizi kapoa mbona, alikua hakauki kwenye huu uzi kutafuta ugomvi..!!
Akikutongoza ukimkataa anakuchamba na kukutukana..!!
Mi niliona chat zake na member mmoja wakipeana michongo ya kunila kimasihara nilichekaaa mbavu ziliniuma..!! 😹😹
Huyo jamaa anamuuliza Penseli, Yule mtoto vipi? Mi nataka nimle nimemuelewa..!!
Penseli yupo kumjaza, eti anaeleweka sema ana bwanaake Jack Palladino 😹😹😹
Ngoja nikuwekee voice naona nachoka kutype
🤣🤣🤣🤣🤣ila una mamboBasi nakuachia Mtoto halali na hela umfaidi..!! 😹
🤣🤣🤣🤣Mtoto halali na hela acha kucheka nibless nione weusi wako wa jongoo wa kuteleza..!!
😹😹😹Haha Kila mda na refresh ujue
Hili jina si ndo lilinivutaga nikasema mtu hawezi jiita mcute tu!!!
Kila nikiingiza voice wateja wananivurugia…!! 😹😹Heaven baby 😅😅😅 we noma
Hivi umesomea uandishi?
Nimekuachia huyo au humtaki? 😹🤣🤣🤣🤣🤣ila una mambo
Naomba kazi😅Kila nikiingiza voice wateja wananivurugia…!! 😹😹
Nimechoka kurecord sauti za watu, acha nitype tu..!!
Uzi upo na tupo salama kama ulivyotuacha..!! 😹😹Nilijua huu uzi ulishakufaga😁😁kumbe bado upo bhana.
Haya mpo salama?
Mi mwenyewe kibarua hapa 😹Naomba kazi😅
Nakumbuka kabla sijaondoka niliicha vibaya watu walikuwa wanataka kutoana roho kwenye miandiko ilikuwa inafurahisha sana haki.naona sasa kuna utulivu kidogo 😁😁.Uzi upo na tupo salama kama ulivyotuacha..!! 😹😹
Haya tubless na pic ya kurudi kundini..!
Chai haina sukariMi mwenyewe kibarua hapa 😹
Nataka kujua unatoa.wapi hii mistari yako💯💯😹🔥una mistari mikali kuliko ata wanaume wa humuNimekuachia huyo au humtaki? 😹