spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Hilo nalijua, halina ubishi.Kwa kweli mshikaji namuelewa yaani vitu vyangu kabisa ๐ค๐ฅ
Ila ku selfika niache kidogo๐คฃ๐คฃ
VAR yangu imekuona na wewe humo papaa mbona unakataa kwa nguvu sana? ๐น
Ndoa tulia wewe heaven geloHilo nalijua, halina ubishi.
Afu mnamatch sana fanya muoane tuje kula pilau..!! ๐น๐น๐น
Wewe hujui huyo mkongo amemfia bi mzuri wangu kiziwi ๐คฃ๐คฃ poleeeeHakuna nilipodanganya upande wako wa crush ๐น
Wewe hujui huyo mkongo amemfia bi mzuri wangu kiziwi ๐คฃ๐คฃ poleeee
๐น๐น๐น Basi mtaje wewe crush wako?VAR yako ya mchongo. ๐
๐น๐น๐น Basi mtaje wewe crush wako?
AriririririiiiiiiiiiiNdoa tulia wewe heaven gelo
Na huko pia najua yupo ๐น๐นWewe hujui huyo mkongo amemfia bi mzuri wangu kiziwi ๐คฃ๐คฃ poleeee
๐น๐น๐น Hapa ambaye sio size yako ni bichwa komwe tu..!!Hata nikimtaja mtasema sio saizi yangu. Bora nikae kimya tuu. ๐
Ariririririiiiiiiiiii
Niache mdomo sasa nipate wa kunibebisha..!! ๐น๐น
Nilitaka kusema huyo mkongo haeleweki mi naona kila sehemu anataka kuweka mguu๐คฃ๐คฃ๐๐ผNa huko pia najua yupo ๐น๐น
Aaa wapi huko kwa kina ndoa kila siku mapanga nje njeAriririririiiiiiiiiii
Niache mdomo sasa nipate wa kunibebisha..!! ๐น๐น
Wananiogopa ๐น๐น๐นKwamba mdomo ndo unakufanya usipate bebi!! Mbona hiyo mpya.
๐น๐น๐น Hapa ambaye sio size yako ni bichwa komwe tu..!!
Haya mtaje crush wako..!!
Wala sijamsingizia, tena wewe anakulia mingle kitambo sema unajifanya huoni..!! ๐น๐นNilitaka kusema huyo mkongo haeleweki mi naona kila sehemu anataka kuweka mguu๐คฃ๐คฃ๐๐ผ
Kasoro kwangu umemsingizia
SawaaaaaUmeona nini? BK ni rafiki yangu. ๐
Kila mmoja na ndoa yake, ya A sio ya BAaa wapi huko kwa kina ndoa kila siku mapanga nje nje
Endelea kumharibia kwa crush wake ๐Wala sijamsingizia, tena wewe anakulia mingle kitambo sema unajifanya huoni..!! ๐น๐น