Uoga huo!Ngoja nimuombe ruhusu ya kumtaja. Nisije kutaja hapa, akaniacha.
Kweli lakini haya banaKila mmoja na ndoa yake, ya A sio ya B
Huyo crush wake naye atakua mshamba sasa ๐น๐นEndelea kumharibia kwa crush wake ๐
Nilitaka kusema huyo mkongo haeleweki mi naona kila sehemu anataka kuweka mguu๐คฃ๐คฃ๐๐ผ
Kasoro kwangu umemsingizia
Eti eeh cha peke yako kaburi basi sawa๐คฃHuyo crush wake naye atakua mshamba sasa ๐น๐น
Mana yake chivundu alimzalia yeye peke yake? ๐น
Safii endelea kujitunza ๐คWala, ningekuwa wa kuweka miguu kila sehemu, ningeshajukikana hapa. Wanawake wa humu ni mashosti, ukitongoza mmoja, wanakaa kama kijiji.
Kwa mfano ukimtongoza Mallerina, lazima Lamomy & Co zitajua. ๐
Safii endelea kujitunza ๐ค
Yupo humu humu ?Sio kujitunza, mtu yupo.
Na kweli ndoa tuachieni sisi masikini hatuna Cha kupoteza zaidi ya nguvu za kiume.Aaa wapi huko kwa kina ndoa kila siku mapanga nje nje
Kuna mtu kajitia kitanzi kwa kunyimwa kei ๐ huko kwenye ndoa mnanyimana ?Na kweli ndoa tuachieni sisi masikini hatuna Cha kupoteza zaidi ya nguvu za kiume.
Ndiwoo ๐นEti eeh cha peke yako kaburi basi sawa๐คฃ
Kwahiyo unamuogopa kumtaja? ๐นSio kujitunza, mtu yupo.
Mwenyewe kasema mtu yupo hataki tu midomo midomoNdiwoo ๐น
Kama anajiamini yuko peke yake amtaje ๐นMwenyewe kasema mtu yupo hataki tu midomo midomo
Na unamnyimaje mwenzio?Kuna mtu kajitia kitanzi kwa kunyimwa kei ๐ huko kwenye ndoa mnanyimana ?
Kwahiyo unamuogopa kumtaja? ๐น
Mtaje ili uwajue wenzio mnaoshare kumdonyoa..!! Hii sikufundishi tena ๐น
Umalaya huo ๐นNa unamnyimaje mwenzio?
SIjajua huyo kanyimwa kwa mda gani mpaka akaamua kutekeleza hayo maamuzi yako?
Ila na yeye kei zote hizi akaamua kujitundika. Na mashaka na vitu alivyokua akipewa marehemu na mke.
Kuna watu wamebarikiwa sana nashangaa watu wanaosema kei ni kei. Oyaaaa haha.
Kama anajiamini yuko peke yake amtaje ๐น
Una kisukari? ๐น๐นSitaki kuleta vayolensi bwana.