Selfika na JF: Snap it. Show it

Terminator ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa id zote hizo za kazi gani?
ID za mwanzo zilikuwa 1."Maghayo" 2.Mbusususu Enthusiast akaChange ikawa "The Mongolian Savage" 3. "The stress Challenger"

Nikazichoma kwa mods IDs ya Maghayo na Stress Challenger zikala permanent ban , hapo ndipo akaja kwa hasira na ID upupu kama hizo kunikomoa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†

Hapa jukwaani Mimi ndiye rafiki yake mkubwa na wakati huo huo ni adui yake mkubwa kila mtu ana enjoy kumchokoza mwenzake ๐Ÿ˜†
 
Siku hizi jf mademu mmepoa?
Zamani hapo lamo unafatwa pm hapo kaa mbali na chino we mshenzi!

Sitaki hata umquote.
Huku jukwaani kidume unashangaa mbona sasa hivi mtoto ana quate kumbe kitumbua kishatiwa mchanga tiyar
Wee Thubutuuuuu sio mimi aisee..!!

Mi ukinipiga beat ndo nafanya makusudiiiii mbona maji ataita mma ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Bora atulie ajifanye kama haoni..!!
 
Kama ninavyolizingua Chiwawa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Wee Thubutuuuuu sio mimi aisee..!!

Mi ukinipiga beat ndo nafanya makusudiiiii mbona maji ataita mma ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Bora atulie ajifanye kama haoni..!!
hua najiuliza ungekulia uswahilini ingekuaje.

Kuna mda unaashushaga paragraphy utafikiri ni wa kule kwa binyau kumbe wa kishua.

Mmoja ya vitu una viinjoy ni vita mchuchu! Tena sikuhizi naona una jizuia sana haha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ