Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Fally nitakuwa mie mchimba chumvi! Mimi sina maringo, hapa BK atanisaidia.

Sasa upapaa upi, unamananisha?
Upo upapaa kwa maana ya ubaba/mukulu, upo upapaa kama pedeshee (Mutu ya pesa mingi), upo upapaa (udii) yaani utapeli! 😊
Tubaki hapo kwenye namba 2 na 3 😹😹

Au wee unaonaje?
 
Hivi unajua mimi sio kama Coca, Coca anapenda miili fulani hivi

mi napenda wenye miili mikubwaaaaa yaani wakubwa afu warefu mi nakuwa hapo kafupi kama kirikuu nipo tu nakomaa 😂😂😂

Growing up nilikuwa mwembamba sana so nikatengeneza obsession na wenye miili, Naogopa mwenye mwili mdogo tusijeonekana wanafunzi bureee tukazuiliwa kuingia lodge 🤣

Je papaa yukoje?
Papaa yupo hapo hapo 🔥🔥🔥

Vitru vyako aiseeee..!!
 
Mate nitumie afu 5 nimalize kazi 🤣

Sio tu lizuri afu lina hela, mi uchawa tu ananipaga Dollar Ila nayeee mwingiiiiiiiiiii! Mhh mhhh kaka zangu wa singida viwembe nyieeeeeee, humu zingepigwa basi tu ☺️

The Monk

(ntafuta hii comment akishaisoma)
Sasa elfu 5 ya nini wakati ushasema ana pesa? Mate tamaa hizo 😹😹

Wewe niweke suala la ukiwembe wake niachie mimi..!! 😹😹

Li monk lizuriii bhana awww 🥰🥰
Lilivyoselfika siku ile moyo ukalia paahh 😥

🫡
🫡
🫡
Igweeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ulitakiwa uwe footballer mwanangu huo utege 😍😍

Vitru vyangu kabisa Ukiacha zile id zako za ghayo gengez..!! 😹😹
Hizi ID sizimiliki hata Moja , Ghayo ni mwanangu kama ilivyo wewe na Chiwawa , sababu namuweza nikamtikisa kidogo akajaa kwenye mfumo akajikuta anashare screenshot ya IDs zake Jf baada ya kubishana nae kwenye Uzi Fulani sasa Mimi nikaziSave chap kwa haraka kabla hajafuta. 😂

Hapo Kuna ID "driz de mafwele " aliianzisha ili kuchafua jina langu , alivyoona sijastuka kaja na mpya Adryz ambayo imeiga jina mpaka avatar ili kuzua taharuki ..

Ndio maana akaunti yangu nimeVerify kuweka blue tick ili kujitofatisha sababu kubwa ni ushenzi wa Ghayo kuiga ID yangu na kuanzisha vitu vya hovyo 😆
Screenshot_20261012-161229~2.jpg

IMG_20261011_210640.jpg
 
Back
Top Bottom