Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Chuma hiki hapa sasa cha mjerumani..!! 🔥🔥TBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20’s mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau 😩
View attachment 3691442
Kiuno nyigu, afu wewe ilitakiwa ungetuwakilisha Miss World tuchukue taji..!!
Mtoto Kama twiga wa Mikumi, anaiona mpaka kitonga..!! 😍
Em niangalizie kesho itakuwaje?