Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wewe unamuunga mkono?
Kwanza ulivyokua haupo kasema hakupendi πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu nilikwambia hajatulia ukabisha
 
Papaa ana vitu vyako, body lina degree ya uvuvi haramu..!! 😹
Hivi unajua mimi sio kama Coca, Coca anapenda miili fulani hivi

mi napenda wenye miili mikubwaaaaa yaani wakubwa afu warefu mi nakuwa hapo kafupi kama kirikuu nipo tu nakomaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Growing up nilikuwa mwembamba sana so nikatengeneza obsession na wenye miili, Naogopa mwenye mwili mdogo tusijeonekana wanafunzi bureee tukazuiliwa kuingia lodge 🀣

Je papaa yukoje?
 
Hivi unajua The Monk kaka yangu naeza mgawa sasa hivi, Afu goma lake liko humu sema haliko selfika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii comment ntaifuta baada ya muda maana nakuwa nimesambaza umbea πŸ€¦πŸ»β€β™€οΈ
Kaka ako wapiiii 😹😹

Sema li monk lizuriiiiii 😍😍

Ungekuwa sio mate wangu ningemkwapua 😹😹😹
 
Navopenda chakula cha wachina mimi, nina marafiki zangu waliniletea hii sijui walijua mi mlevi mwenzao, Linaonekana li kali kama bomu sijawahi onja nimeiweka tu

View attachment 3691451

Ntamtunuku Bwashe min -me
Hili bomu ukimpa min atamtukana mpaka Max 😹😹😹
Chondechonde usimpe, muache apambane na visungura vyake..!!
 
Back
Top Bottom