spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Uyo yupo kama pisi za kwenye Tv kumbe ushawah muonaTope utapata wapi wewe Nicole Scherzinger!! Wa kupata tope sio wewe bosi kubwa.
Uyo yupo kama pisi za kwenye Tv kumbe ushawah muonaTope utapata wapi wewe Nicole Scherzinger!! Wa kupata tope sio wewe bosi kubwa.
😹😹😹 hatarii..!!Ulikua una ufala mwngi!
Iyo asubuhi nikajidamka nikaanza mvizia yule dada nichukue namba.
Oya aliupiga mwingi mbaya zaidi million yake Ile kordo nzima
Usiache!!
Uliamini nina picha zako kweli?Vizuri BK, urafiki ni jambo zuri. Kuna maisha nje ya JF.
Troka zako 😹😹View attachment 3691475
Au crocs hizo 😂😂😂😂
😅😅 sawa endelea ila mimi sitaki kesi na watu humu Steve Rogers uje umwambie ndugu yako
😂😂😂😂Chuma hiki hapa sasa cha mjerumani..!! 🔥🔥
Kiuno nyigu, afu wewe ilitakiwa ungetuwakilisha Miss World tuchukue taji..!!
Mtoto Kama twiga wa Mikumi, anaiona mpaka kitonga..!! 😍
Em niangalizie kesho itakuwaje?
Uyo yupo kama pisi za kwenye Tv kumbe ushawah muona
Binti muongo wewe 🙌🏼🙌🏼😹😹😹 hatarii..!!
Dada yule bwanaake alikua akitaka kupiz anapiga miluzi basi tunacheka mbavu mpaka zinauma..!!
Nilihisigi chabo tunapiga _me_tu😹😹😹 hatarii..!!
Dada yule bwanaake alikua akitaka kupiz anapiga miluzi basi tunacheka mbavu mpaka zinauma..!!
Prime Amber rose ndo yeye sasaNimemuona hapa hapa mwanangu. Steve Rogers kasema anafanana na Nicole Scherzinger, sikumpinga.
Uliamini nina picha zako kweli?
Nizitunze za nini?
Siwezi kufanya hivyo hata nikitunza basi ni kwa ajili yangu siwezi kusambaza kamwe
Mimi unaeniona hapa kupitia maandishi ni tofauti kabisa na mimi halisi hii ni chitchat tu
Mimi na bi mzuri binti kiziwi tumezungumza mara kadha ila hatujawahi kabisa kumzungumzia mtu abadani na sizani kama tutapata huo muda
Sawa papa mtu ya kongo lubumbashi🤗
Hupati kesi dada zako tupo tutapiga watu.😅😅 sawa endelea ila mimi sitaki kesi na watu humu Steve Rogers uje umwambie ndugu yako
😅😅mimi maneno sitaweza nisije anza kulia bure maana watu kwa Nongwa hawakawiiKama ni kesi bora ije tuu.
Prime Amber rose ndo yeye sasa
Btw JF imepoa nowdays nakumbuka yule jamaa eti akatoa location wakapiganeHupati kesi dada zako tupo tutapiga watu.
Nadhani hukuwepo JF kuna jamaa alimualika mwenzio uwanjani wapigane badala ya kugombana humu 😂🙌🏻
Huyo huyo wa wiz wa Black and yellowAmba Rose yule wa enzi za akina Whiz Khalifa? Kweli kaka..
Atakupenda tu we kaza!!!!Siachi BK, Chica tutaenda nae tuu, japo hanipendi. 😊
Wewe nasikia umepitaa hapa Leo, nimepitwaa alooo?? 😢😢😭😭Leo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika
SafiiNi utani.