Ngoja siku niibuke na kipara cha Amber kabisa ๐น๐น๐นPrime Amber rose ndo yeye sasa
Ukija uku wanakuita Amber rose na wanavojua kushangaa matarcleNgoja siku niibuke na kipara cha Amber kabisa ๐น๐น๐น
Engineer kumbe ni mnyama!! Nakugawia chilambo
Futa comments hii inabaki na picha.Engineer kumbe ni mnyama!! Nakugawia chilambo
Sasa urefu ulokua unasema uko wapiTunabonda na kunyongaaaa!!!!
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Huyo huyo wa wiz wa Black and yellow
Time fliesIle ngoma ya Roll up, mle kuna demu wa kuvaa kikaptula kapiga American Boot (Timberland), ile pisi nafikiri Whiz Khalifa alichukua resemblance ya Amba.... of course Whiz ni muhuni anaejua mademu...
๐น๐น๐น JF wa kunikamata sijamuona..!!Janja janja FC, msichana mrembo ila tapeli hakamatiki kimapenzi sijui yupoje.
Subiri kidogo, wanga watakuchosha..!! ๐นBi mzuri my lovelysister๐ฅฐ binti kiziwi ๐
Heaven gelo Lamomy
Magical girl Chica Gee
cocastic wewe bado sijakupatia jina
Chivundu mtu ya kongo papaaa
@Supaida nyoka future shemeji ๐คฃ๐คฃ
Guys I'm out laleni unono
Kesho nayo siku
Nawapenda sio kimapenzi
ShesRise_1 โ๏ธ
Vile inafaa mate! Humu story tu kila mtu akale kwao ๐๐๐น๐น๐น JF wa kunikamata sijamuona..!!
Kapita hapa nusu nakedNimelia sana ๐ฉ๐ฉ kwenda tu nje kidogo nimepitwa cocastic