Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Njoo tushinde huko tumpopoe samuya mpaka watuvizie watufilimbe😅😅

Halafu nimeshajua yule B ni kama ana ku crush

Intelijensia yangu haijawahi ku feli
Kule nashinda sana na kuna muda nawapelekea moto, mate wangu binti kiziwi ananijua ndo maeneo yetu ya kujidai yale..!!

Sasa hivi tu ndo nimepunguza.
Soon narudi..!!

B yupi anayeni crush na mwenyewe sijui? 😹
 
Hua nakuona mara chache chache
Na sijawahi kukuona kwa nyuzi zangu pia za kule

Huyo B itifaki imezingatiwa
 
Basi itakua tunapishana, kwenye nyuzi zako za siasa zipi hizo?

Jukwaa la siasa wananijua vizuri na mi ndo mfungua codes kule..!!

Nitajie huyo B basi mbona sijampata?
 
Njoo tushinde huko tumpopoe samuya mpaka watuvizie watufilimbe😅😅

Halafu nimeshajua yule B ni kama ana ku crush

Intelijensia yangu haijawahi ku feli
Tanzania si salama tena UKiwa mkosoaji wa serikali ya CCM avoid sana interaction yeyote na members wa jf kwenye maisha ya uhalisia hawashindwi kukuuza kama walivyomuuza polepole.

CHino anataka aendelee kukuona hapa siku zote
 
Basi itakua tunapishana, kwenye nyuzi zako za siasa zipi hizo?

Jukwaa la siasa wananijua vizuri na mi ndo mfungua codes kule..!!

Nitajie huyo B basi mbona sijampata?
Bi mzuri yeye hua anaziona na hua ana changia sana

Kwa heshima yake siwezi kumtaja humu ila ndio hivyo mambo ya code mi nilidhani utaifungua chapu

Unakumbuka siku alikuzungumzia akjifanya ana kutag kwa kukosea jina mimi nika kutag ?

Ni huyo na siku ile ile nilisanuka nikakausha
 
Tanzania si salama tena UKiwa mkosoaji wa serikali ya CCM avoid sana interaction yeyote na members wa jf kwenye maisha ya uhalisia hawashindwi kukuuza kama walivyomuuza polepole.

CHino anataka aendelee kukuona hapa siku zote
Usijal chino shem lake hata hivyo nataka ku change no yangu ya simu very soon

Hakuna mtu kutoka humu atawasiliana na mi direct tutaishia Upenuni
 
Bi mzuri yeye hua anaziona na hua ana changia sana

Kwa heshima yake siwezi kumtaja humu ila ndio hivyo mambo ya code mi nilidhani utaifungua chapu

Unakumbuka siku alikuzungumzia akjifanya ana kutag kwa kukosea jina mimi nika kutag ?

Ni huyo na siku ile ile nilisanuka nikakausha
😹😹😹 Yule wala hanicrush wewe utakua umeona vibaya bana..!!

Eti alijifanya kukosea kutag khaaa..!! 😹
Niliona ile nikajua jina halijui vizuri, nawe mfukunyuku..!!
 
Back
Top Bottom