Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Hata nikikutag utakuwepo muda huo kweli mate? 😹Next unitag mate ake
Hata nikikutag utakuwepo muda huo kweli mate? 😹Next unitag mate ake
Binti nipo timamu na akili yangu inafanya kazi vizuri najua ninachosema😹😹😹 Yule wala hanicrush wewe utakua umeona vibaya bana..!!
Eti alijifanya kukosea kutag khaaa..!! 😹
Niliona ile nikajua jina halijui vizuri, nawe mfukunyuku..!!
Yaaaniiiii 🙆🏻♀️Hata nikikutag utakuwepo muda huo kweli mate? 😹
Wao wanataka tue tunaongea habari za valvet za kina Mariam saula na mikuno ya nazi yao! Mkipatikana watu wachache mnaotumia akili zenu vizuri kwenye mambo ya msingi mnageuka kua maadui.Usijal chino shem lake hata hivyo nataka ku change no yangu ya simu very soon
Hakuna mtu kutoka humu atawasiliana na mi direct tutaishia Upenuni
Mi ujue wengi tu wananicrush na nikigundua nawachokoza makusudi na kuwakera ili waache kunichorea makopa..!! 😹😹Binti nipo timamu na akili yangu inafanya kazi vizuri najua ninachosema
Ilinichukua dkk chache kugundua anachowaza kukusu ila ndio hivyo analinda brand
Kuna signal alionesha kuanzia kujifanya anakosea kuku tag
Nilivyokutag akajifanya anapotezea nikajua lol hata wewe 😅😅🙌🏼
Wajinga hatuwezi kujadili kei na mwenzie ukuni week nzimaWao wanataka tue tunaongea habari za valvet za kina Mariam saula na mikuno ya nazi yao! Mkipatikana watu wachache mnaotumia akili zenu vizuri kwenye mambo ya msingi mnageuka kua maadui.
Sasa jf wanavoiganga spana serikali ya CCM ni muhimu kukaa macho mda wote.
TUnawaamini na kuwapenda ndio wanaotusaliti siku zote
Wewe nawe una manzi? Em weka hapa tumuone, tatizo unanikubali kuliko huyo kijuso wako, hakupi vitu adimu ukatulia? Ni mshamba eeeh? Mlete kwangu nimfunde, nyakanga na kungwi nipo hapa, tena namkaanga buree. Nawapa offer yaan.Hata angekuwa mwanamke sidhani kama angemfikia manzi wangu... niliye naye ananitosha...
mi nataka nione tu picha ya kaka cocastic
Bebeeee, nimekujaa hapaa!! Em nikuone Black American wangu.Nimemfungia ndani Leo hatoki
Mbinu yako nzuri pole yao wanao ku crushMi ujue wengi tu wananicrush na nikigundua nawachokoza makusudi na kuwakera ili waache kunichorea makopa..!! 😹😹
Hii ni mbinu yangu pendwa kama umenisoma..!
Sitaki mapenzi yatawale wakati taifa linaangamia..!!
Yule lazima alinde brand we unaona rahisi kujionyesha? 😹😹
Umemuonaaa shem lakoo?? Mie sijawahi kufeli kwenye kuangukia kwa mtu.Shem leo kazi ipo..!! 😹
Cocaaaaaaaaaa 📣
Njoo mumeo halfcast kashafika anapita naked..!!
Mlongo unataka mademu wa selfika uwazoe wee pekee ako? Wenzio watapumzikia wapiii??
Anawachanganya nini bebee wangu jamaniii??Hata naelewa basi.!!
Huyu babe wa coca anatuchanganya hapa..!!
Upoo?? Nikupe kitu naked, ili roho yako isuuzike.Utatisha sana kaka...
Wewe muache huyu nammudu udugu, anakusumbuaje nawee.Unawashwa washwa ugomvi 😹
😂😂😂😂😹😹😹 Muwekee
Mia anakupenda ila kukwambia anashindwa..!!