Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Ntaikuta kesho basiš¹Namsubirii Brooh angu hapaa.
Ntaikuta kesho basiš¹Namsubirii Brooh angu hapaa.
Jidanganye š¹Kijana nimemtazama kwa jicho la rohoni ni mtu safii kama theruji
Selfika jana sijakuonaNimekujaa uduguui, ššš
haha anadai na wachuchu wengine.Wallah nimelia sana umeandika kwa uchungu sanaš¢š¢
Miaka 7 ?
Huyu binti jamani š
Kuanzia J3 mimi na wewe tufunge tatu 3 kavu ikishindikana tujiamulie mambo twende kumlipua kwenye chungu
š¹š¹š¹š¹Ariririiiiiiiiiiiii!!! Bebee tusiachanee, Tudumu milele, na mali zako uandike jina langu
ššš
Coca em pita nataka kulala mie
Kweli tumekubali mpaka Mallelina mate yamemtoka..!! š¹š¹Yaan shem lako ni š„š„š„
ššš najitengenezea mazingira km binti Urassa.š¹š¹š¹š¹
Niambie mkuuuš¹Usilale, mimi na wewe hatujamalizana.
š¹š¹š¹š¹š¹nilisema yupo vizuri bila kutokwq mateKweli tumekubali mpaka Mallelina mate yamemtoka..!! š¹š¹
Naomba abaki na bwana ake mwenye weusi wa jongoo na pua km mshumaa.Kweli tumekubali mpaka Mallelina mate yamemtoka..!! š¹š¹
Niambie mkuuuš¹
š¹š¹š¹ Ila chino!!Huu unaenda mwaka wa 7.
Kijana wa watu bado na uvumilivu wa hali ya juu.
Alinipitishaga kwenye mitihani migumu huyu mtoto! Afu akawa ana ni zoom ntafanyanje. Bado nikafaulu.
Uduguuu subirii kidogoo!!Selfika jana sijakuona
Nilipita kweupeeeePita basi...š
Mshindweee š¹š¹Wallah nimelia sana umeandika kwa uchungu sanaš¢š¢
Miaka 7 ?
Huyu binti jamani š
Kuanzia J3 mimi na wewe tufunge tatu 3 kavu ikishindikana tujiamulie mambo twende kumlipua kwenye chungu
Hata asiponisikiliza tutajiamulia mambo huyu sio wa kumchekeahaha anadai na wachuchu wengine.
ShesRise_1 ila nimefurahi anakusikiliza naamini jambo litakuwa
Nilipita kweupeeee