Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Ulitoka mate nilikuona Malle 😹😹😹😹😹😹😹😹nilisema yupo vizuri bila kutokwq mate
Ulitoka mate nilikuona Malle 😹😹😹😹😹😹😹😹nilisema yupo vizuri bila kutokwq mate
Kwanini unanisingiziaga sanaaa😹😹😹Ulitoka mate nilikuona Malle 😹😹😹
😹😹😹 Malle umesikia?Naomba abaki na bwana ake mwenye weusi wa jongoo na pua km mshumaa.
Black American wangu amuache tu.
😂😂😂😂
Nibless nilale jmni mida ya genz hii kulalaAnaogopa kusifiwa
Hajaridhika acha achague😹😹😹 Malle umesikia?
Ubaki na bwanaako mtoto halali na hela..!!
Utalala hata keshoNibless nilale jmni mida ya genz hii kulala
Kwa Ambition uliishia wapi? 😹😹Huruma sio malezi
😹😹😹😹😹naomba aje kuthibitisha haya maneno 😹huyo bwana mnayenipa😹😹😹 Malle umesikia?
Ubaki na bwanaako mtoto halali na hela..!!
Kwani uongo? 😹Location 2/10😹😹😹😹😹acha izo
I love you Mallerina😹😹😹😹😹naomba ahe kuthibitisha haya maneno 😹huyo bwana mnayenipa
😂😂😂😂😹😹😹 Malle umesikia?
Ubaki na bwanaako mtoto halali na hela..!!
Nimeona udugu uko msupuuu 😍😍Unaswampaa sanaaa!! Wee nishapitaa shwaaaa.
Harakati zangu ni endelevu kibaya ninaowapambania wana mbwelambwelaKwa Ambition uliishia wapi? 😹😹
Napenda harakati zako zinazoishia njiani..!!
😂😂😂😂 umeanza fujooo sasa nawee.Kwa Ambition uliishia wapi? 😹😹
Napenda harakati zako zinazoishia njiani..!!
😂😂😂 usijarii uje uchukue tu mahi.Nimeona udugu uko msupuuu 😍😍
Unipe bwanga hilo
Yameisha chino tusirudi huko kwenye zama za giza tena 😘Si kipindi kile mnapelekeana moto na mnywani haha!!
Nikasema nini kimetokea hapa mtume! Nikijaribu kuku calm down ndio kabisa ukawa unapiga missiles kama zile za Iran ambazo zikikaribia target zinagawanyika vipande vingi unashindwa hata namna uzuie lipi.
Nilikua mpaka nafunga just imagine ili walau mue hata na MOU
Naweka wapiUsilete I love you tia helaaaaa tia helaaaa🎵🎵
Mondy unyama🔥🔥
😹😹😹😹Kwanini unanisingiziaga sanaaa😹😹😹
Achague nini wakati sisi dada zake tushamchagulia wewe..!! 😹😹Hajaridhika acha achague