Nilijitahidi kua kuwadi msela kaingia mitini udugu wako nae kamdomo😆😆😂😂😂😂 umeanza fujooo sasa nawee.
😂😂😂😂Achague nini wakati sisi dada zake tushamchagulia wewe..!! 😹😹
Ndio atabana miguuAchague nini wakati sisi dada zake tushamchagulia wewe..!! 😹😹
Au msindikize mkalale wote..!!Utalala hata kesho
Kwa hiyo huna hata account😹
Lamomy weka lipa number nijichagulie vijora😹😹🔥chap
Huyo anakupenda hahitaji uthibitisho japo najua atakuja fasta kusema Yes 😹😹😹😹😹😹😹naomba aje kuthibitisha haya maneno 😹huyo bwana mnayenipa
😂😂😂uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.Nilijitahidi kua kuwadi msela kaingia mitini udugu wako nae kamdomo😆😆
Nikweli hiyo sehemu ni mbaya Kwa kweli ila ndio utafanyaje na mihangaiko ya Dunia😀Kwani uongo? 😹
Nikisema ukweli hamtaki basi naacha..!!
Usilete I love you tia helaaaaa tia helaaaa🎵🎵
Mondy unyama🔥🔥
Humu melo angeweka sehemu tutume voice note😹😹😹😹maneno hayatoshiWoyooooooooooo 🔥🔥🔥
😹😹😹😹 khaaaaa..!!Harakati zangu ni endelevu kibaya ninaowapambania wana mbwelambwela
Yule mshkaji kapotea kama upepo usikute labda ana tatizo 🤔
Nataka hela upendo tutatumia wake😹😹Jamaa anakwambia nakupenda, unasema atie hela! Unataka kupendwa au anataka hela? 😊
Woyooooooooooo 🔥🔥🔥
😹😹😹 Napenda harakati zenu za kunipambania nipate bwana..!!😂😂😂😂 umeanza fujooo sasa nawee.
Wala haina shidaNataka hela upendo tutatumia wake😹😹