Sema mi litanibana 😹😂😂😂 usijarii uje uchukue tu mahi.
😅😅 umechukua mpaka ya u dalali😂😂😂uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
😂😂😂😂
Harakati zangu ni endelevu kibaya ninaowapambania wana mbwelambwela
Yule mshkaji kapotea kama upepo usikute labda ana tatizo 🤔
Wee Umepewa bure, mpe mwenzio bure 😹Usilete I love you tia helaaaaa tia helaaaa🎵🎵
Mondy unyama🔥🔥
Wee nawe hilo li avatar la Zuma la kazi gani? Unaweza sema ni jibaba la kizee, kumbe kijana tu. KhaaahNikweli hiyo sehemu ni mbaya Kwa kweli ila ndio utafanyaje na mihangaiko ya Dunia😀
Na lazima upate tuu, 😂😂😂😹😹😹 Napenda harakati zenu za kunipambania nipate bwana..!!
😹😹shemeji yenu yupo mjueWee Umepewa bure, mpe mwenzio bure 😹
Kwa nani papa pedeshee 🤗Napambanie na mie basi. 😊
Cha udalali nimekula tena kikubwa tuu,😅😅 umechukua mpaka ya u dalali
Kheri mie najitolea tu 😅😅
Ikishindikana sitaki lawama mie
Chivundu nitetee nawe😹basi
Mwambie asi mind😹😹shemeji yenu yupo mjue
😂😂😂😂 aaah wapiii!!Sema mi litanibana 😹
Binti unamlia dhamani udugu wako una roho ya pakaCha udalali nimekula tena kikubwa tuu,
😂😂😂😂 woiiiiih
Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe 😹Ndio atabana miguu
Japo sijauona nikiuona nitadataJamaa kaelewa mzigo. 😊
Siachi hela ujue, alinizoesha babu miga kunipa hela kwenye harakati za kumpambania utamu, ko nishazoea yaani.Binti unamlia dhamani udugu wako una roho ya paka
Hayo ndo maneno sasa umeona Malle 😹😹Kwa hiyo huna hata account
😂😂😂😂 uduguu wee ni chizii ujue?Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe 😹