Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Siwezi kuvumilia ๐นMie nikavunga, wee umeamua ulipue tu.
๐๐๐๐
Siwezi kuvumilia ๐นMie nikavunga, wee umeamua ulipue tu.
๐๐๐๐
Hajanijngiza chaka, ukweli ndo huo..!!Anakuingiza chaka
Anakujazaaa ujione umepatia
Kwani picha ya mtu kavaa suti km dark blue, kasimama ofisini ni wewe au chi?Check tena
๐น๐น๐น๐๐๐๐ unanichekesha mnoo, khaaah
๐๐๐๐Mi nitakua host, wewe mchokoza mada..!! ๐น
Si ndiooo, ๐๐๐๐Kakushushua ๐น๐น๐น
Ni suala la muda lilikua..!!
Udugu wangu coca wala hakubisha anajua mi sinaga kazi mbovu..!!
Ile mi lip gloss itakubabua lips ๐น๐น๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAcha zako lamomy
Wee em sema kwelii? ๐๐๐Kutuna ni kawaida, mama zetu wakiona pametuna hawatuambii ila wanafurahi vijana wao tuna mizigo. ๐
Uking'ang'ania jambo๐๐ผ๐๐ผHajanijngiza chaka, ukweli ndo huo..!!
Uoga wako tu, ๐๐๐๐๐น๐น๐น Atanitoa roho
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃniletee wwIle mi lip gloss itakubabua lips ๐น๐น
Mwambie akome kukuletea..!!
We muache amuendekeze kama hajambabua lips na hizo lip gloss za salaula ๐น๐น๐๐๐๐ ila Malle anapendaga kututafutia waja maneno, na mwenyewe kaweka kwa raha zake hana wasi wasi wala haogopii
Woiiiih.
Lamomy fanya vitu tupate mualikoPamoja na yoteee ,Ndoa ni baraka.View attachment 3692140
๐๐๐๐๐๐Pamoja na yoteee ,Ndoa ni baraka.View attachment 3692140
๐น๐น๐น hapo tutatoana roho๐๐๐๐ nikimbie na kapu la sadaka lenyewe.
Wee em sema kwelii? ๐๐๐
๐น๐น๐น๐นNina wasi wasi na bebee wake, ukute anatokea itilima shinyanga huko.
Sio kwa hizo code. ๐๐๐๐
Mwagika coca๐๐๐๐๐๐๐๐ ila Malle anapendaga kututafutia waja maneno, na mwenyewe kaweka kwa raha zake hana wasi wasi wala haogopii
Woiiiih.
Uduguuu sikuweziiiiii!! Ngachokaa nene, mahu wenga, lolakeha hoti chene chiwunu chachivi na shanga ze zoha hazi.Mje mniungishe waist chain ๐น