Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama wana jukwaa tunaomba kila page utupie🥳photo
FB_IMG_1790100876230.jpg
 
Alinileteaga viatu ila vimezeeka 😹😹💖usimchambe basi kama kwenye lipgloss🔥🔥🔥😘shemeji yupo na mtatamba nayeeeeee
View attachment 3692129
Mpaka umeniomba basi naacha 😹😹

Ila ajitahidi kuongeza pair za viatu kwa wakati, yani mpaka vinaisha yeye hajaleta vipya? 😹

Hajui kumiliki pisi kali gharama?
 
Hivi bebee wako ni wa wapi? Mbona anaonekana sio? Anakubebeaje hii ndula kwa mtoto mkare km wee?
😂😂😂? Huyo muache alooo hakufai kabisaa, anaua brand yako mahi, nawee unavaa tu?
Aaah 😂😂😂😂😂
Uduguu ntakubondaa 😹😹😹
 
Back
Top Bottom