Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yuko wapi wakati tunaye hapa hapa mtoto halali na hela..!! ๐Ÿ˜น
Alinileteaga viatu ila vimezeeka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ’–usimchambe basi kama kwenye lipgloss๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜˜shemeji yupo na mtatamba nayeeeeee
1002740584.jpg
 
Anaitiwa pesa anataka lipa namba ya Vijora ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa hukuona beauty polars yake mda aliweka hapa, anataka kijora cha kusasambulia kwenye shughuri hukoo.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Alinileteaga viatu ila vimezeeka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ’–usimchambe basi kama kwenye lipgloss๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜˜
View attachment 3692129
Hivi bebee wako ni wa wapi? Mbona anaonekana sio? Anakubebeaje hii ndula kwa mtoto mkare km wee?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚? Huyo muache alooo hakufai kabisaa, anaua brand yako mahi, nawee unavaa tu?
Aaah ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Miaka mitatu naye unadhani rahisi๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ’–๐Ÿ”ฅ
 
Back
Top Bottom