Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli si tumechukua cheti cha majukumu mapema ,wengine waoga .Ikishindikana kabisa pata hata mtoto ,ndio alama zetu muhimu tutakazoacha duniani.Asante.
Mkuu Asantee sana kwa ushauri nimeupokea
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Yaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.
😂😂😂😂😂
😹😹😹 wohiii wohiii
Nacheka mpaka machozi..!!
 
Back
Top Bottom