Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
🤣🤣🤣🤣mnanichekesha sanaYaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣mnanichekesha sanaYaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.
😂😂😂😂😂
Kuna kiatu nimeselfika huko juuu😹sijui mnaita ndulaSijaridhika Malle.
Ukinipa na hilo bwanga, kwishaaaaa 😹😹😹Kuanzisha fujo au watajua umeenda kuibia watu simu😹😹😹😹kwa fally
Kuna kiatu nimeselfika huko juuu😹sijui mnaita ndula
Kipo maana sitakifuta😍Sijakiona mie, umefuta chap.
Nakuambia, ukute bi harusi alimkubali bwana na hiyo rangi, akasema atotoe vitoto vya kimanga, siku ya harusi anaona giza sio giza, usiku sio usiku. Full tafrani, ikabidi achekee tu hapo. Haamini km ndio huyo bwana harusi, anatamani atangaze ukumbini hapo aliyemficha bwana ake amlete hapo kati, sio huyo, huyo ni msimamizi.😹😹😹 Au bwana harusi kuzungukia michango kumemzeesha..??
😹unajua napenda hilo ndula banaUkinipa na hilo bwanga, kwishaaaaa 😹😹😹
Mwambie shem aache ujinga, akupe vitu vinavyoendana na age yako na muonekano wako..!!
😹😹😹 Hata mi sikubali, una order kiranga unaletewa TlaatlaahNakuambia, ukute bi harusi alimkubali bwana na hiyo rangi, akasema atotoe vitoto vya kimanga, siku ya harusi anaona giza sio giza, usiku sio usiku. Full tafrani, ikabidi achekee tu hapo. Haamini km ndio huyo bwana harusi, anatamani atangaze ukumbini hapo aliyemficha bwana ake amlete hapo kati, sio huyo, huyo ni msimamizi.
😂😂😂😂😂
Hilo litakuletea fangasi za vidole we mchekee huyo shemeji..! 😹😹unajua napenda hilo ndula bana
😂😂😂 jicho analiona Back American wangu tuu.We unapita ukitubania ata jicho😹
😂😂😂Watanirudisha mlangoni watajua nimeenda kuanzisha fujo 😹😹😹
Nakuambia ukweli malle. 😂😂😂🤣🤣🤣🤣mnanichekesha sana
Nimeghaili gudubaiNipee mahii. 😂😂😂
Ila marks muhimu. Aloooh
Nipee mahii. 😂😂😂
Ila marks muhimu. Aloooh
Nimeghaili gudubai
Au una order Nyani Ngabu, unaletewa Lucas Mwashambwa.😹😹😹 Hata mi sikubali, una order kiranga unaletewa Tlaatlaah
We kuweza?
Samahani umewahi kujichubua? Au kutumia vipodozi?Haya hii ndio rangi yangu halisi.😀😀😀View attachment 3692154
Weka bhana mahi. 😂😂😂Nimeghaili gudubai