Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Hizo siasa sasa! 😒Weka, niweke au na wewe unaogopa? 😊
Hizo siasa sasa! 😒Weka, niweke au na wewe unaogopa? 😊
Pita basiManeno yamekuwa mengi kuliko picha
Huyo sio wako mpaka uweke picha ya pamoja😹😹😹hapaaaAtakayenijia na kumsema mke wangu Vibaya namfurushia mawe tu.
Mbn nimepita mud sio mrefu 😹Pita basi
Irudiwe nilikuwa mbali na hapaMbn nimepita mud sio mrefu 😹
Nikipita nakushtua chappIrudiwe nilikuwa mbali na hapa
Sawa papaa😊Sijui sasa, muulize Lamomy.
Hizo siasa sasa! 😒
Unapita kama umeme😹🔥Sawa, picha hii hapa. kuna swali?
Hahaha tunaweka mizani tu😅mwanaume anapita vipi kizembe hapa 😅Halafu wanaume mnaopita mpite bila emoji, hizo emoji ni ke tu..!!
Naomba nieleweke 😹
Halafu wanaume mnaopita mpite bila emoji, hizo emoji ni ke tu..!!
Naomba nieleweke 😹
Wewe dada una wivu. Ipo siku utakunywa sumu humu siku tukiweka Picha ya pamoja.😅Huyo sio wako mpaka uweke picha ya pamoja😹😹😹hapaaa
Dahh!! Naona sina bahati na picha zako nimegeuka tu kurudi manyoyaa!!Sawa, picha hii hapa. kuna swali?
Pita PM kabisa leo siko poa kabisa nakuwa sipo active kabisa humuNikipita nakushtua chapp
Dahh!! Naona sina bahati na picha zako nimegeuka tu kurudi manyoyaa!!
Kapotea sana yupo yule jamaa yangu ?Wanaume piteni naked kama anavyofanyaga mahi wangu Ntiluseswa