ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mapovu ni trauma tu za nje ya Jeyihefu sina hakika kama ni picha tu 🤣🤣Msifute nasi tuone kinachowatoa mapovu hawa watoto.
Sawa
Mapovu ni trauma tu za nje ya Jeyihefu sina hakika kama ni picha tu 🤣🤣Msifute nasi tuone kinachowatoa mapovu hawa watoto.
Sawa
Hizo hapana🤣🤣🤣
Itabidi nipige nikiwa nimevaa boxer kabisa
Ipo kwa fundi usijisumbue kupiga 🤣🤣🤣Kaka pokea simu 🤣🤣
Nina kesi na wewe
Sasa si uende huko X, mtoto wa kiume unakuwa na gubu kama kuna wake wenzio humuHuko x twitter , tunaongea ukweli mtupu ila njoo humu sasa😅😅 eti mrembo😅 nyie sijui mnatuona mat,,ko yenu au?😅
We mtu kwema vipi ile issue ili isha swalamaEeh. Nikiachwa halafu....
Je utakuja wewe?,😅
We mjanja weka picha ya live🔥🥳🥳🥳mtu kilimanjaro mojaHahah nilishapita mno😅😅
Nipo rada subiri nilewe😅We mjanja weka picha ya live🔥🥳🥳🥳mtu kilimanjaro moja
Ninga photo basi😹😹
🤣🤣🤣🤣 hili nalo neno. Maana haiwezekani hivi hivi tu. Ila nanyi mna tabia mbayaa kwanini mnakataa wazee?Mapovu ni trauma tu za nje ya Jeyihefu sina hakika kama ni picha tu 🤣🤣
Kaka 🙆♀️ we hayaIpo kwa fundi usijisumbue kupiga 🤣🤣🤣
Ukilewa tupia tufurahie leo weekend🥳🔥Nipo rada subiri nilewe😅
Simu mbovu imeharibika button ile ya space bar haifanyi kazi 🤣Kaka 🙆♀️ we haya
Hahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅Ukilewa tupia tufurahie leo weekend🥳🔥
Mbona haupiti? Au upo bado upo kwenye foleni ? 🤣Ukilewa tupia tufurahie leo weekend🥳🔥
Nakukumbuka dada yangu. Nakuona upo tunapishana tu Hapa. Si unajua maisha lazima yaendelee hata kama ni maumivu. Ila baada ya muda unashukuru unasahau Akili inakaa sawa.We mtu kwema vipi ile issue ili isha swalama
Kuna waliokataa wazee kwani 🤣🤣🤣🤣🤣 hili nalo neno. Maana haiwezekani hivi hivi tu. Ila nanyi mna tabia mbayaa kwanini mnakataa wazee?
Hahah sasa malerina mtoto mzuri anashindwa vipi kupita Bwashee 😅Mbona haupiti? Au upo bado upo kwenye foleni ? 🤣
Watu wakimuona min me hawapiti😹😹😹💔Mbona haupiti? Au upo bado upo kwenye foleni ? 🤣
Bhana mimi nishachoka kusubiri mbona unakuwa kama Yesu 🤣Watu wakimuona min me hawapiti😹😹😹💔