min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hawawezi kupita kama wana migongo kama kobe mimi nikiwepo 😅Watu wakimuona min me hawapiti😹😹😹💔
Hawawezi kupita kama wana migongo kama kobe mimi nikiwepo 😅Watu wakimuona min me hawapiti😹😹😹💔
Mwenye masikiriko na wewe nani jombaa mbona unajikuta kwenye hamna?Hahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅
Leo.nipo off😹😹Hahah sasa malerina mtoto mzuri anashindwa vipi kupita Bwashee 😅
Mnawakataa wazee mwisho wanapata sonona za uzeeni, sio vizuri🤣🤣🤣Kuna waliokataa wazee kwani 🤣
Kuna wazee humu au kujitoa ufahamu
Mental health is real
Kuna haja ya kuanzisha clinic kupima kiwango cha makasiriko 🙌🏼
😹😹we ushasema hamna humu pisi hatupiti leoHawawezi kupita kama wana migongo kama kobe mimi nikiwepo 😅
😹we umeselfika wapi kwanzaBhana mimi nishachoka kusubiri mbona unakuwa kama Yesu 🤣
🤣🤣🤣😹we umeselfika wapi kwanza
Unalazimisha urafiki kwa watoto wa kike nao hawakutaki basi full mahangiko na makasiriko zee zima. Get a life.Hahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅
Hamna cha kukataana hapaMnawakataa wazee mwisho wanapata sonona za uzeeni, sio vizuri🤣🤣🤣
Piteni tu uzuri mmoja nina mda mchache humu😅 ,na hapa natania tu 😅😹😹we ushasema hamna humu pisi hatupiti leo
Sawa😅Leo.nipo off😹😹
😹😹hizo unazoita pisi chafu ndo zinawakosesha usingizi wakaka wa humuHahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅
Msimkatae mwenzenu, mnaona sasa anachanganyikiwa🤣Mwenye masikiriko na wewe nani jombaa mbona unajikuta kwenye hamna?
Yeah ni kwel ila tunatofautiana pia😅😹😹hizo unazoita pisi chafu ndo zinawakosesha usingizi wakaka wa humu
Nmemmis sana mpenzi wangu yuleKapotea sana yupo yule jamaa yangu ?
Basi aokote makopo tujue kama kweli kachanganyikiwaMsimkatae mwenzenu, mnaona sasa anachanganyikiwa🤣
Weka vitu kabla nisinzie🔥🥳
Sasa mmemkataa mwenzenu afanyeje? Ndicho pekee kilichobaki. Msiwakatae wazee mtawaua kwa upweke.min -me kwani wewe unajikuta nani hasa kuingia Selfika ku bully wanawake
Yaani wewe nani haswa au unataka kila mtu asherekeee upumbavu wako ?
Wewe unaweza kuumba mtu?