Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Kuna mwingine huko nimetoka kumchamba alikua anajifanya yuko USA sasa kapata ajali kajisahau yuko kusema kadondoka na tuk tuk..!! 😹😹😹🤣🤣🤣🤣 kwahiyo kumbe ni genye mshindo
Nimemuuliza kwa hiyo ajali bila Shaka ni bodaboda, vipi NYC kuna boda?
Kaniambia lini alisema yeye yuko USA? Kwanza yeye yupo Germany..!!
Nikamletea uzi wake aliounzisha mwenyewe mwaka huu akisimulia alivyotua NY kwa mara ya kwanza..!! 😹😹😹
Mpaka sasa hajarudi, mkinionea red black mmwambie lamo namtafuta sana..!!