Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Akhu! Kichuguu bana 😹Hakunaaaa leo nakuwekea sikio😀
Akhu! Kichuguu bana 😹Hakunaaaa leo nakuwekea sikio😀
mind you na hizo ni tbt!! Sasa itakuwaje akilishika file la picha mpyaHalafu alivyo na makusudi akaliweka nyuma ili macho yawatoke..!! 😹😹😹
Kuna yule mwenzie sitaki kumtaja wanadai wapo ulaya lakini characters ni za yombo kwa limboa😆😆Red black kanichekesha sana leo 😹😹
Hiyo lini hiyoooo?Akhu! Kichuguu bana 😹
Kuna mda lazima uchanganyikiwe uone kipi maana Kila kitu ni fireHutaki ulimi😜
Hapo chacha 😹😹mind you na hizo ni tbt!! Sasa itakuwaje akilishika file la picha mpya
Wazee wa abroad 😹View attachment 3693854
Mbeya Uhindini
Wale wote ni sunche na kapeto 😹😹Kuna yule mwenzie sitaki kumtaja wanadai wapo ulaya lakini characters ni za yombo kwa limboa😆😆
toto halichoshi kuangalikaHapo chacha 😹😹
Em aweke new file la kichuguu..!!
Ukithimama nchale ukikaa nchale 😆Kuna mda lazima uchanganyikiwe uone kipi maana Kila kitu ni fire
Baaasii kuna nini tena 😅Wale wote ni sunche na kapeto 😹😹
Inategemea wakuu huu mji mkubwa 😂😂Kuna mwingine huko nimetoka kumchamba alikua anajifanya yuko USA sasa kapata ajali kajisahau yuko kusema kadondoka na tuk tuk..!! 😹😹😹
Nimemuuliza kwa hiyo ajali bila Shaka ni bodaboda, vipi NYC kuna boda?
Kaniambia lini alisema yeye yuko USA? Kwanza yeye yupo Germany..!!
Nikamletea uzi wake aliounzisha mwenyewe mwaka huu akisimulia alivyotua NY kwa mara ya kwanza..!! 😹😹😹
Mpaka sasa hajarudi, mkinionea red black mmwambie lamo namtafuta sana..!!
Ukute ndio hizi species zinatusumbua kuomba elfu kumi ya kula pm🤣🤣Kuna yule mwenzie sitaki kumtaja wanadai wapo ulaya lakini characters ni za yombo kwa limboa😆😆
APo baadae nipate ya liguuu tuUkithimama nchale ukikaa nchale 😆
Huu mji una ntu na ntu 😅😅😅Inategemea wakuu huu mji mkubwa 😂😂
Muda si mrefu nimepita Morroco ama hiyo tunaiitaje ShesRise_1
Worry less shem hanshamuu😊APo baadae nipate ya liguuu tu
Morocco ya magomeni 😹😹Inategemea wakuu huu mji mkubwa 😂😂
Muda si mrefu nimepita Morroco ama hiyo tunaiitaje ShesRise_1
Nenda kwenye uzi wake ukachekeBaaasii kuna nini tena 😅