Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chiwawa ma min me wana ndugu zao wengi humu jamani. Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Ndio shida za kuanzisha anzisha nyuzi kila wakati bila hata kuwa na vya maana ili mradi tu nawe uwe relevant humu ndani. Sasa wanaumbuka
Nenda kwenye uzi wake upitie comment ucheke 😹😹😹

Alivyo mkavu kakataa katakata hajawahi kusema yuko USA na ushahidi kaniomba 😹😹

Kumbe kasahau na uzi alianzisha mwenyewe mwaka huu..!! 😹
 
Okay, tupia basi pic yako..!!
Nimemiss kuona zile ndevu 😍
Ahahaaaa. Kumbe unapenda ndevu eeh.

IMG_0679.jpeg
 
Back
Top Bottom