min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Spain na Italy unapata viza kwa haraka, na kuna poland😅😹😹😹 Mnifanyie mpango ma bro na mi nije abroad nisije kutekwa..!!
Spain na Italy unapata viza kwa haraka, na kuna poland😅😹😹😹 Mnifanyie mpango ma bro na mi nije abroad nisije kutekwa..!!
Unaonaje ukailamba kesho ya mgonjwa ili aamke akiwa mzima..!! 😹😹Naweza kuilamba mpka kesho yako😜😅
Mashallah 😍
Chuma kimesimama
Hapo Malizia na kichuguu..!!
Hahaha sina timu uje😅 nikisha log out nayaacha humu humu tuNikienda kumpelekea uji nitamwambia umemkana mara tatu km Petro..!!
Mi nataka USA alipo mgonjwa 😹😹Spain na Italy unapata viza kwa haraka, na kuna poland😅
Hii flat screen au kuna nyingine? 😹Kichuguu chako hutaki tuone.
Hahaha kwa sasa kutoboa ni ngumu labda Canada na kigezo namba moja ,utamsogelea mgonjwa wako😅Mi nataka USA alipo mgonjwa 😹😹
Yule si nduguyo?Hahaha sina timu uje😅 nikisha log out nayaacha humu humu tu
Nikamuuguze mgonjwa 😹😹Hahaha kwa sasa kutoboa ni ngumu labda Canada na kigezo namba moja ,utamsogelea mgonjwa wako😅
Apumzike kwa amani 😢Unaonaje ukailamba kesho ya mgonjwa ili aamke akiwa mzima..!! 😹😹
Anaumwa nini kwani?Nikamuuguze mgonjwa 😹😹
Hahaah nina wengi sana humu sijajua yupi sasaYule si nduguyo?
Kweli kwenye matatizo hadi ndugu wanakimbia..!!
Nipo kibirizi si umeona behewa la Kadogosa hilo😹😹😹 Mnifanyie mpango ma bro na mi nije abroad nisije kutekwa..!!
Tulia mdogo wetu au unataka nikutegee mtego wa 🐀 unase 😆?Nimefika, huyo manyanza hansamu wa kwenda, yuko full package ila kwenye pesa sina uhakika..!! 😹
Wauguzaji hamna 😹😹Apumzike kwa amani 😢
Kateguka mkono..!!Anaumwa nini kwani?
Huruma sio maleziWauguzaji hamna 😹😹
Uzuri atapita hapa atakusoma..!!Hahaah nina wengi sana humu sijajua yupi sasa
Au sio? 😹Nipo kibirizi si umeona behewa la Kadogosa hilo
😹😹😹 Em tega nione..!!Tulia mdogo wetu au unataka nikutegee mtego wa 🐀 unase 😆?