min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Aaahhh hana noma mwamba 😅Kateguka mkono..!!
Aaahhh hana noma mwamba 😅Kateguka mkono..!!
Huwa sishindwi utanasa tu 🤣🤣😆😹😹😹 Em tega nione..!!
Nafurahishwa na pirika zako kama za pimbi 😹😹Huwa sishindwi utanasa tu 🤣🤣😆
Mbinu za kijasusi zilishasukwa tayari
Au siyo 🤣🤣🤣Nafurahishwa na pirika zako kama za pimbi 😹😹
Kuna kitu amekufanyia sio bureLamomy ndo zake aninipiga sana matukio shemelaa.
Ni vile chino mvumilivu.
Anataka tuwe kama Jada na smith
Sio bure kuna namna🙆♀️Nyamaza tu shemelaa!!
Ananileteagaa visa sana huyu Lamomy ila nishamwambiaga mi ni dokta mwaka siachi kirahisi na siachiki kirahisi hata akienda bakwatq
😹😹😹 Wewe acha kiherehere na husiano langu..!!Kuna kitu amekufanyia sio bure
Kwahiyo niendelee kulia au niache😢
Hili husiano nitalifatilia kwa ukaribu 😅😹😹😹 Wewe acha kiherehere na husiano langu..!!
Tunajuana wenyewe, mshike jembe mkalime..!!
hahaha dah😹😹😹 Mbona wewe umesifia kichuguu sijamind chino?
😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi..!!Hili husiano nitalifatilia kwa ukaribu 😅
Kuna harufu ya ufisadi
Njoo shemela usimame kwenye kichuguu utatoshea sijui 😅😅hahaha dah
We li ShesRise_1 linapita nisitie neno kabisa. Nilijibana nikashindwa kwakweli lishemelaa lizuri bana.
Limebarikiwa
Umeniambukiza 😅😹😹😹 Nimecheka mpaka machozi..!!
😹😹😹 Chino kesho tukutane Bakwatahahaha dah
We li ShesRise_1 linapita nisitie neno kabisa. Nilijibana nikashindwa kwakweli lishemelaa lizuri bana.
Limebarikiwa
Kwahiyo unataka kunipindua udugu wako ujiweke? 😥Njoo shemela usimame kwenye kichuguu utatoshea sijui 😅😅
Huyo mwanamke anataka mashindano we uliona wapi
Size yangu kabisaNjoo shemela usimame kwenye kichuguu utatoshea sijui 😅😅
Huyo mwanamke anataka mashindano we uliona wapi
Nisamehewe sijui nitendalo🙆♀️😢Kwahiyo unataka kunipindua udugu wako ujiweke? 😥
Yani unamwambia aje akalie Kichuguu kweli? 😹😹😹
Nasemaje, hatoki mtu kiboya tutapigana risasi na vishoka kwa chino 😹😹