Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hizi kama imekufa nilikuwa active kipindi ilipoanzishwa nikapotea kwa miaka .

Mimi sikuwa kiongozi nilikuwa member tu , Kipenseli alitukanana mpaka na mods wenzake wakatandikana ban , ilikuwa nyumba ya fujo humo 😂
Kwanza Penseli na mshamba ni mbwa na paka hawapatani.!! 😹😹

Penseli mkorofi ni jamii ya Chiwawa yule..!!

Member mlikua wangapi?
 
Wii wangu huyo mashallah 😍😍😍
Rangi ya mtume inawaka mpaka kwenye giza nene.. 🔥

Kidoti OG kimekutoa sio kina Asha jibwa mpaka wachore na wanja wa maskala 😹

Naomba baibui wii na mi nivae stara..! 🥰
Baibui tu umepata my wiii❤️
Uwe na usiku mwema mpendwa.
 
Hizi peni bwashee nilikuwa natumia wakati wa mitahani tu 😀
Hiyo rubber ilikuwa inanipa gripu ya kutiririka point zetu zile zile "cheap labour na wenzake kina railways to transport sisal" 😂

Halafu mkuu unaweka formula za maendeleo kwenye hiko kitabu eeeh tutapita nacho 😂😂
😂 😂 😂 gripper ni gripper kweli , nikiwa na pen nyingine sina vibe la kuandika kabisa.

Hiko nililitengeneza kwa mkono wangu mwaka 2018 , nilichua makaratari rula , gundi na nyenzo nyingine nakitunza sana , kina madini muhimu sana
 
😂 😂 😂 gripper ni gripper kweli , nikiwa na pen nyingine sina vibe la kuandika kabisa.

Hiko nililitengeneza kwa mkono wangu mwaka 2018 , nilichua makaratari rula , gundi na nyenzo nyingine nakitunza sana , kina madini muhimu sana
Hatari mkuu 😀..nilikuwa na kimkebe kimejaa hizo peni kwa ajili paper tuu.
Nondo huwa zinakaa kwa vitabu kama hivyo popote ulipo kipo, mwendo wa secret formula 😂...
 
Back
Top Bottom