adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Hivyo vyote ni vitu vimoja .Kwahiyo huendi kufanya kazi unamfata Maghayo mzichape? 😹😹
Kufanya kazi ni sawa na kumtafuta Maghayo , sababu alitambia kuwa amenizidi umri , pesa na exposure . Nikamuahidi nitapambana ibaki amenizidi umri tu .
Hiyo siku baada ya kupiga tutacheka na kupiga stori sana 😂