Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ili akanipandishe boda tule mzinga 😹
Mpishi wa supu nipo, kisingeharibika kitu😹
Shangazi yako hata kiswahili hajui em acha hizo, atajua wote wapwa zake..!!
Mbona unanibania utafikiri utaliwa wewe.!! 😹😹
😹😹 Shangazi ndio ananiweka mjini ujue
Kama kazi imekushinda nipe namba za mamaako, najua wifi yangu hawezi kuniangusha..!! 😹🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
Wanapendana balaa japo lugha gongana😹
 
Una passport mwanetu? 😹
Hapo bora ujishushe kwa maghayo akufanyie mpango uende mkasaidiane kulea wazee, hao wengine chatungi na mwenzie sio wa kuwahesabia kabisaa..!! 😹😹
Tayari ipo mkononi naifanyia process nimfuatee Maghayo .

Maghayo nilimuahidi lazima nimkamate live nipo radhi nichome pesa ili nimsake popote alipo na bahati nzuri nishajua nchi alipo na Kuna mtu wa Jf nimeahidiana nae nikifika nimcheki anipeleke mpaka kwa Maghayo 😂 😆
 
Mpishi wa supu nipo, kisingeharibika kitu😹
Shindwaaaa 😹😹
😹😹 Shangazi ndio ananiweka mjini ujue
Usingetaka kupiga uwinga kama anakuweka mjini..!! 😹

Mtoto mdogo Umeanza uchawi mapema, hutaki ankali ako apewe vitru vya kinyumbani mtsiewwww 😹😹
Wanapendana balaa japo lugha gongana😹
Usimsingizie wifi yangu ni wewe na roho yako ya kwanini..!!

Mamaako anataka aitwe aunt na mtoto wa kibongo kama Esma kwa Mond..!! 😹

Nipe namba za anko wako kwanza nimuulize hili suala yeye analichukuliaje la wewe kumpanda kichwani? 😹
 
Tayari ipo mkononi naifanyia process nimfuatee Maghayo .

Maghayo nilimuahidi lazima nimkamate live nipo radhi nichome pesa ili nimsake popote alipo na bahati nzuri nishajua nchi alipo na Kuna mtu wa Jf nimeahidiana nae nikifika nimcheki anipeleke mpaka kwa Maghayo 😂 😆
Kwahiyo huendi kufanya kazi unamfata Maghayo mzichape? 😹😹
 
Tayari Dada nishamaliza masomo nimehitimu sasa kama min -me takribani mwaka huu , hiyo ni kumbukumbu .

Pen hizo karibia chuo kizima nilikuwa nazo Mimi , siku Moja Mwalimu aliniona nayo alifurahi sana akasema nimemkumbusha mbali kwa Pen hizo walikuwa wanatumia enzi zao na akashangaa kukuta bado zipo 😆
Umehitimu lini hata kutupa mualiko hapana jamani!

Hahhaah yaani DIT nzima ulikuwa nayo wewe tu sio? Ngoja niulizie😁
 
Shindwaaaa 😹😹

Usingetaka kupiga uwinga kama anakuweka mjini..!! 😹
Pesa haijawahi kutosheleza😹😹
Mtoto mdogo Umeanza uchawi mapema, hutaki ankali ako apewe vitru vya kinyumbani mtsiewwww 😹😹
Utaniharibia anko wangu
Usimsingizie wifi yangu ni wewe na roho yako ya kwanini..!!

Mamaako anataka aitwe aunt na mtoto wa kibongo kama Esma kwa Mond..!! 😹
😹😹😹😹
Nipe namba za anko wako kwanza nimuulize hili suala yeye analichukuliaje la wewe kumpanda kichwani? 😹
Anko akilijua hili na undugu anavunja. Anapenda totoz yule😹😹
 
Amkeni muone mali🌸🔥🔥😍
1002742320.jpg
 
Back
Top Bottom