Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwenye uzi wangu wa birthday mtu aliuliza una miaka mi ngap nikamuambia naitafuta 30 bado ngazi chache hakuamini

Uzi wa forever young watu karibia wa 3 hawakuamini mwingine ndio huyo anasema nipo kwenye 40+ mwingine 35+

Sasa najiuliza nifiche natafuta mume ?ili iweje yaani🙌🏼

But unaamua kuwaacha maana sio muhimu hata hivyo
Humu tuna imagination nyingi mno Kuna namna mtu ana kupicture tofauti na uhalisia ila uhalisia tupo tofauti

Sema na li IQ ilo linachangia
 
#TheSunHasRisen , kumekucha tayari jua limechomoza na matumaini mapya yanachomoza kila siku
IMG_20261020_060653.jpg


Mr Venom ni muda wa kusambaza Venom za kiharakati
IMG_20261020_061155.jpg
 
Hazipo madukani ya kawaida , Kuna duka special nanunua boksi zima , rejareja nilikuta mitaa ya posta inauzwa mona buku lol😎

Nazipenda ziko unique kimuonekano na muandiko.

Hii blue 💙 View attachment 3694050

Hapa nikiwa na black 🖤

View attachment 3694051
Nakuona ukielekea masomoni mdogo wangu😁

Hizo kalamu nimetumia primary tulikuwa tunazipenda mno darasa letu!
 
Back
Top Bottom