spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Cello fine grip au mimi ndo nmesahauKumbe cello gripper bado zipo😁
Cello fine grip au mimi ndo nmesahauKumbe cello gripper bado zipo😁
Tayari Dada nishamaliza masomo nimehitimu sasa kama min -me takribani mwaka huu , hiyo ni kumbukumbu .Nakuona ukielekea masomoni mdogo wangu😁
Hizo kalamu nimetumia primary tulikuwa tunazipenda mno darasa letu!
Mtihani wa level gani ya elimu ndugu?Tayari Dada nishamaliza masomo nimehitimu sasa kama min -me takribani mwaka huu , hiyo ni kumbukumbu .
Pen hizo karibia chuo kizima nilikuwa nazo Mimi , siku Moja Mwalimu aliniona nayo alifurahi sana akasema nimemkumbusha mbali kwa Pen hizo walikuwa wanatumia enzi zao na akashangaa kukuta bado zipo 😆
Sasa nakuwingiaje hivi hivi tu? Tangaza dau🤣Em niunganishe na huyo mjombaako itakua ni yeye nyani..!! 😹
Ukute ndio wewe, maana naye ana watoto shombeshombeUna uhakika si mimi ndo mjomba wako?
Kaka unajua wewe ni mwanaume , na sisi wanaume huwa hatuna mambo kama haya...Bila mie hutembei kabisa Mjini JF. Unataka nikupeke mjini eeeh??
Degree mkuuMtihani wa level gani ya elimu ndugu?
Hongera sanaDegree mkuu
The last drop of urine doesn't obey the gravitational force until you shake it😅😅Asante mkuu , nimechoka kukaa umatumbini nataka niwe DayasPora kama wewe japo Lamomy anabisha View attachment 3694153
View attachment 3694154
Tamaa hizo, huyo mjomba ako angekuwa anakaa chanika ungetaka kupiga uwinga? 😹😹Sasa nakuwingiaje hivi hivi tu? Tangaza dau🤣
Una passport mwanetu? 😹Asante mkuu , nimechoka kukaa umatumbini nataka niwe DayasPora kama wewe japo Lamomy anabisha View attachment 3694153
View attachment 3694154
Chino nitakuweka jini univutie hela dukani naona unavuka mipaka sasa 😹😹Akupitishe tu naona ananichelewesha kabisa
Kwahiyo unaforce kuniwekea makamu ili ani Jiwe mchezee nchi? Si ndio? 😹😹😹Naomba umpitishe tu ShesRise_1 ukisafiri huko kwa kina Donyen awe ana kuwasilisha tu
Nyie wote nitawachapa risasi endeleenii 😹😹Usinigombanishe chino🤣
Unamwaga details zangu ili uchepuke vizuri na mchepukaji mwenzio? Chino nitawapiga na shoka kama baba side wa Dodoma ooohh 😹😹😹Si Kuna mda anaenda kwa kina jetlee ana kaa mpaka miezi 3
Chino ni Kama vile umechoka kuishi uraiani 😹😹Mtoto km inaonekana hazijasoma mileage za kutosha.
Ni Yale maembe mabichi ya kulia na chumvi.
Afu una vibe unaonekana wewe
Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣Tamaa hizo, huyo mjomba ako angekuwa anakaa chanika ungetaka kupiga uwinga? 😹😹
Shangazi ndio tatizo🤣Em niweke kwanza afu mambo mengine yanazungumzika..!!
Ili akanipandishe boda tule mzinga 😹Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣
Shangazi yako hata kiswahili hajui em acha hizo, atajua wote wapwa zake..!!Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣
Shangazi ndio tatizo🤣