100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Pita kaka nipo nasubiri...Niko hapa Brooh, leo napita naked kwa ajiri yako, nataka kusuuza mtima wako.
Niutoe huo upwekee, 😂😂😂
Pita kaka nipo nasubiri...Niko hapa Brooh, leo napita naked kwa ajiri yako, nataka kusuuza mtima wako.
Niutoe huo upwekee, 😂😂😂
😂😂😂😂 sikumbuki em nikumbushe kwani.
Unachelewa sanaa, tukutane baadae.Pita kaka nipo nasubiri...
Asante sana mtani ❤️😍🙏Wewe ni msafi, nakupenda buree mahi.
Usijali nitapita UsikuJamni mbn mnapitaga kama nimesinzia😂😂sina bahati.kwa Chica mimi
😘😘Asante sana mtani ❤️😍🙏
Kaka unazingua, weka picha...Unachelewa sanaa, tukutane baadae.
Njemba ilivokaa kwa utulivu kama mtu vile
Ahsante pia Kwa kumuona dada yangu.Asante MawardatDellapina nimemuona mzaa chema
MashaAllah ♥️Ahsante pia Kwa kumuona dada yangu.
Kisa kuku entertain ndio utake kunipanda kichwani? Unanijua nikibadilikaga, nimekuambia baadae.Kaka unazingua, weka picha...
Mlongo sijakuona, pita tenaa bhana.Ahsante pia Kwa kumuona dada yangu.
😅Muda ulireply ungeweka na picha, unachelewa bana..!!
Ni mama yangu😁,sio mieMlongo sijakuona, pita tenaa bhana.
Wee kumbee!!Ni mama yangu😁,sio mie
Kaka tuache ugomvi...Kisa kuku entertain ndio utake kunipanda kichwani? Unanijua nikibadilikaga, nimekuambia baadae.
Bila mie hutembei kabisa Mjini JF. Unataka nikupeke mjini eeeh??Kaka tuache ugomvi...
Weka picha unaweza shangaa ukapata pisi kali humu humu..