Wii wangu huyo mashallah πππShangazi Nuzuuu au mama watatuView attachment 3695505
Kwanza Penseli na mshamba ni mbwa na paka hawapatani.!! πΉπΉSasa hizi kama imekufa nilikuwa active kipindi ilipoanzishwa nikapotea kwa miaka .
Mimi sikuwa kiongozi nilikuwa member tu , Kipenseli alitukanana mpaka na mods wenzake wakatandikana ban , ilikuwa nyumba ya fujo humo π
Em pita kwanza πΉπΉπΉπΉπΉπΉunatka kuniharibia usiku wa tulivu yani
Nimecheka sana na hizo pochi zako πΉπΉπΉHivi vitu nisipofanya saizi nitafanya uzeeniπΉπΉafu huu ndo muda wake sasa au unaonajeπΉπΉπΉ
Baibui tu umepata my wiiiβ€οΈWii wangu huyo mashallah πππ
Rangi ya mtume inawaka mpaka kwenye giza nene.. π₯
Kidoti OG kimekutoa sio kina Asha jibwa mpaka wachore na wanja wa maskala πΉ
Naomba baibui wii na mi nivae stara..! π₯°
ππππΉhuyu mpaji Mungu anaeleweka kweli
Nilijua tu utaruka ππAcha rasta zionekane.
Siwezi kukuruka.Nilijua tu utaruka ππ
Ni swali niliulizaNimepitwa vipi?
Em muite arudie nimuone..!!
Basi fanya hivyo πSiwezi kukuruka.
Place order.Basi fanya hivyo π
π π π gripper ni gripper kweli , nikiwa na pen nyingine sina vibe la kuandika kabisa.Hizi peni bwashee nilikuwa natumia wakati wa mitahani tu π
Hiyo rubber ilikuwa inanipa gripu ya kutiririka point zetu zile zile "cheap labour na wenzake kina railways to transport sisal" π
Halafu mkuu unaweka formula za maendeleo kwenye hiko kitabu eeeh tutapita nacho ππ
Hatari mkuu π..nilikuwa na kimkebe kimejaa hizo peni kwa ajili paper tuu.π π π gripper ni gripper kweli , nikiwa na pen nyingine sina vibe la kuandika kabisa.
Hiko nililitengeneza kwa mkono wangu mwaka 2018 , nilichua makaratari rula , gundi na nyenzo nyingine nakitunza sana , kina madini muhimu sana
Mwana wa chini frame ya camera imemuonea πLeo Alhamisi ngoja nipite naked TBT 2010
View attachment 3696520
2017 nikiwa shuleni sekondari na Marafiki zangu , ilikuwa Jumamosi tulikuja shule kusoma na kujisomea
View attachment 3696524
π₯π₯π₯π₯Mallerina π kama nilivyokuambia Mpaji Mungu usije kuruka tena
Nakupambania mke wangu upate hati ya kiwanjaβ₯οΈπNakuelewa dear!!
Naam mke wangu kipenziβ₯οΈRhabhekhaa!! My huzbiee!! πππ
Utamu wako ndio Siri yangu, Humu hawajui walichokosaβ₯οΈπNdio babeee!!ππ
Ndio wanguuβ₯οΈβ₯οΈβ₯οΈNdio babeee!!ππ