ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kashapenyezewa rupiaMsimamo mikali kabisa ya ndugu tundulisu wengi ndani ya chadema hawaiwezi, wamezoea siasa za kidalali, siasa za kidalali zinaichelewesa sana nchi hii
Mwamba kalainika sana