Selfika na JF: Snap it. Show it

Huaga mnapata faida gani kwenye kudhalilisha watu?

Sijawahi kuelewa mantiki ya mtu A kudhalilisha mtu B

Hua naona ni ushamba
Malezi mabaya kukosa ustarabu na wivu uliochanganyikana na chuki
Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!

Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.

Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.

Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
 
Watu wali mpicture kama wema sepetu flani!!

Na kihuhalisia angekua yuko economically vizuri alikua anaweza kua na huo muonekano.

Mademu wengi walionona wanahudumiwa vizuri ndiomana wanapata muonekano
Kumbe lizuriii ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Afanye arudi bana demiss ๐Ÿ˜
 
Jamaniii ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hawataki kuonekana mawinga km Lamomy?

Sasa hizo lodge za 10k ndo anakoenda kufotolewa akiwa uchi? Wanaume wa JF kiboko ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Warudi bhana waje watuambie vizuri ilikuwaje?
 
Mna complicate mambo acheni watu waishi maisha yao bana yaani watu waisikae wakapumua lol

Huyu hivi huyu vile
Hamna lolote hapo ni chuki na wivu kwa saana

JF ni kama platform zingine acheni watu waishi maisha yao
 
Hamtaki kuachwa ndo tatizo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Unataka kusema nini chino? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ila JF kila nikitaka kuacha umbea lazima mnivute nirudi..!!

Kwahiyo huwa mnapeana taarifa Kama mmepita? Na mipicha mnavujisha? ๐Ÿ˜น

Mungu saidia nisije kushawishika kuwa na husiano la kuvuana chupi humu. Amen ๐Ÿ™๐Ÿ˜น
 
Mna complicate mambo acheni watu waishi maisha yao bana yaani watu waisikae wakapumua lol

Huyu hivi huyu vile
Hamna lolote hapo ni chuki na wivu kwa saana

JF ni kama platform zingine acheni watu waishi maisha yao
Mimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.

Ila kinachowaponza ke wengi humu ni ulimbukeni wa mahusiano; hapa chino nisiwe mnafiki;

Na me wengi humu ndani ni washamba wa_ k_!! Akikula lazima aje ajimwambafy;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ