Selfika na JF: Snap it. Show it

Sitakuja thubutu kukugalagaza kwenye matope student.

labda mpaka siku kakitambi ntakapo kaona hakataki kutoka πŸ˜› 😜 😜
Haha kunigalagaza hapana, bora hata unipe kazi ya kutembea mwendo wa pole

Kakitambi kakikataa ticher naomba tutafute plan B, mambo ya kutenguana nyonga hapana asee πŸ˜‚πŸ˜‚

Tukimaliza kakitambi itabidi tuanze na kujazia jazia nyama baadhi ya maeneo πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…