Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sitakuja thubutu kukugalagaza kwenye matope student.

labda mpaka siku kakitambi ntakapo kaona hakataki kutoka 😛 😜 😜
Haha kunigalagaza hapana, bora hata unipe kazi ya kutembea mwendo wa pole

Kakitambi kakikataa ticher naomba tutafute plan B, mambo ya kutenguana nyonga hapana asee 😂😂

Tukimaliza kakitambi itabidi tuanze na kujazia jazia nyama baadhi ya maeneo 😛😛
 
Back
Top Bottom