Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
wewe tena;😂😂😂 nilipe ticher
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe tena;😂😂😂 nilipe ticher
Naomba Leo usiende.
Effort yangu yote ile asbh...aisee[emoji19][emoji19]
Yaani nimecheka sana sana mzee toboa kajua kunikomeshea watu halafu jana nlijua picha za ukweli kumbe mashokoro mageni.
Bas ijumaa hii
kwa hyo bora ningetuma machoHahahaha Soudy Brown karibu kila siku watu wanamuona macho ila wengi wao hawajawahi kuijua sura yake ikoje
Yaani nikajipeleke shimoni najiona,Usijaribu kumchezea simba sharubu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea na Aina ya mabadiliko.Mkuu Mabadiliko ni process ndefu mfano tulivyotoka kweny ujamaa(utumwa) alioweka Yule mzee mwenye mvi mpaka hapo tulipo
Hivyo tutabadilika itachukua mda kuendana na hali
Namaste..
Asaidie tu ..kwa yoteAsaidie Nini?
Ataelewa tuNdo apo sasa kama nimeitoa Gugo.
Haijatoka gugo ile.Ndo apo sasa kama nimeitoa Gugo.
Tatizo lako huitumii Google [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asaidie tu ..kwa yote
Kwa mjeda siwezi elewa lolote.Ataelewa tu
Wacha nibaki hivi hivi
Nilishazoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wembamba nao unachangamoto zake ukitembea unatimua vumbi hata kwenye Tiles [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Hamna chochote aliamua kututisha tuKwa mjeda siwezi elewa lolote.
Nilishakatwa maini na ule mkono baada ya kuona neno tz pale begani[emoji1751]
Hizi hazinogeshi mada[emoji6][emoji6][emoji6]View attachment 1219936
TAHADHARI TAHADHARI
KAMA HATUTAONA MDADA MWENGINE JF MWENYE UMBO KAMA MAMA TINGINYA BASI TUTAWAPOKONYA POINT