Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Jumamosi nina harusi mchumba. Tupange siku twende. Nimeenjoy safari hii hadi natamani niwe naenda kila weekend
Okay okay. Imepita hii.
Ukienda kule bila presha na bajeti nzuri pako powa. Sema haiwezekani kila mara maana si pa mchezo. Tena awamu hii!