Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Jumamosi nina harusi mchumba. Tupange siku twende. Nimeenjoy safari hii hadi natamani niwe naenda kila weekend
I meant full body picture [emoji1] [emoji1] ,uchambuzi tafanya mwenyeweHahaha full?
wouzer wouzerHamna chochote aliamua kututisha tu
Siyo vizuri hivyo jamani tuma hata kamkono tuHahaahh!mie naona niwe mpenzi msomaji tu kwenye huu uzi
Mlevii ,natuma soonWe yako iko wap
Wewe yako mbona hautumi??HALAFU TUSHACHOKA NA PICHA ZENU ZA KUCHA MIDOMO NA MIGUU UTASEMA TUPO KWENYE PAGE YA WAPAKA KUCHA RANGI NA WAUZA VIPOZI NA VIATU WAREMBO WA JF MNAKWAMA WAPI SIMAMENI TUONE CHURA TUONE MAUMBO TUONE REHEMA NA BARAKA ZA UUMBAJI
Mfano kama ile alioipiga miminimama ule ni mfano mzuri halafu msituchoshe maneno mengi
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Sawa mchumbaOkay okay. Imepita hii.
Ukienda kule bila presha na bajeti nzuri pako powa. Sema haiwezekani kila mara maana si pa mchezo. Tena awamu hii!
Naona magoti hayana sugu, inaonekana hutumii sana ile style yetu pendwa.Hatimaye nimefanikiwa hiyo. (Camera yangu ya nyuma imepasuka ndo maana hiyo picha imetoka kama na ukungu hivi).
Hiyo ni jana Zanzibar View attachment 1219921
Hizo pombe huwa unapewa bure siyo??No money Wat do you expect mi tu du givingi yuu my kidney
Nitashukuru sana usisahau kunitag mama la mama
Naona magoti hayana sugu, inaonekana hutumii sana ile style yetu pendwa.
Duu tunahamia kwenye mada ya walevi sasaEveryday is the holiday View attachment 1219958
Sawa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujakosea kabisaBila shaka wewe ndo ngonyani
Kwahiyo nitupie nyingineHizi hazinogeshi mada
WoyooooHiki kisu wajameni.... Hizi nywele mwenye nazo... Kazifanyaje??? Yaani nataka za demu wangu ziwe hivi... Leta siri za mafanikio mama
NajaYote dear
Weka zote tu pm itapendeza zaidiKitenge, mini skirts au suruali chagua hapo ya kuweka.
Hizo pombe huwa unapewa bure siyo??
Sitarudia tena.Mimi nilishatishika Hadi nikapeperuka.