Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona mnamshambulia mrembo guys!! Tatizo Jf mmezoea kuwekewa kila kitu feki so ikitokea mtu akawa real mnazingua Daah!!
Usijali mrembo mie silali kama ulivyopendekeza na tuendelee kuchat till monaaa.
 
Nina uhakika.Pengine huyu Dada aliweka kwa intention njema watu mfurahi
Maneno haya yatamkatisha tamaa siku zingine
Kwani ukitumia lugha laini Na ya busara utapungukiwa.
Be nice to people friend.You never about tomorrow
Kazi mbovu hii niipeleke wapi besti, yaani hata mzee wa kazi sijui kama atashtuka hata...
 
Nina uhakika.Pengine huyu Dada aliweka kwa intention njema watu mfurahi
Maneno haya yatamkatisha tamaa siku zingine
Kwani ukitumia lugha laini Na ya busara utapungukiwa.
Be nice to people friend.You never about tomorrow
Binadamu ndivyo tulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…