Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimejitahidi kupitia uzi, sijaona picha ya chura hata moja.

Ina maana mademu wa humu ndani wote vimbaumbau.

Yaani kina Shunie,Mzigua,Rebecca83,demu wa smart etc wote hawana chura....

Sio kweli.... iundwe kamati maalumu kuchunguza hili...
 
Kwa wale wabishi
IMG_20190930_161024-1.jpeg
 
Huyu mshana ana uchawi jamani..
Thread yake Kama chuma ulete.. haiwezekani imetuganda Kama gundi muda wote tupo humu.

Nimekula Milo yote [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Asubuhi niliwahi kufukia viporo vyangu ndio nikaingia humu.
Mwili haujengwi kwa tofali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nimejitahidi kupitia uzi, sijaona picha ya chura hata moja.

Ina maana mademu wa humu ndani wote vimbaumbau.

Yaani kina Shunie,Mzigua,Rebecca83,demu wa smart etc wote hawana chura....

Sio kweli.... iundwe kamati maalumu kuchunguza hili...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom