Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea tu kuigiza. BTW Nyoooka hadi PM kwako
Ndiyo boss..
Kwani vipi?
ili iweje?Tuongezee nyingine
lo mismo para ti senorbuenas noches (Good Night)View attachment 1220062
Hahaaa, malizia tu tutaongeza nyingine ita "waiter ongeza Nyingine bana ,chupa Nyingine bana, hiii imekwishaaa"Nasubir pics haraka kabla pombe yangu sijaiimalizia hapa imebak nusu
Inatakiwa ifuate ya mwanaume kwanza.Weka na ww basi
Kwani huuoni jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo mwili uko wapi
Pole sana. Utakua ulikuja muda mwenye nyumba karudi
Duuh. Una pua kama kitumbua kilichozidiwa mafutaEbu amken 2chat kidogo
Picha yako umeshaifuta au bado ipo
mmhKwani hiyo umeweka ili iwaje?
I know [emoji23]Aibu hupotea ghafla baada ya kufunga mlango
Huyu mshana ana uchawi jamani..
Thread yake Kama chuma ulete.. haiwezekani imetuganda Kama gundi muda wote tupo humu.
Nimekula Milo yote [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Asubuhi niliwahi kufukia viporo vyangu ndio nikaingia humu.
Mwili haujengwi kwa tofali
Wewe je?Duuh. Una pua kama kitumbua kilichozidiwa mafuta
Ndio ugonjwa wangu huo, ila nashangaa kwa akina nshomile hakuna rangi hizo utakuwa ulichanganya wewe
Napoaje kwa sekeseke lote lile nilihisi bado unaendeleza 7800 movement [emoji1]