Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanapenda kutishana sana. Sasa kama mimi nianze kuogopa kukamatwa kweli?
Kwa kosa gani? Labda kama kuwa JF ni kuvunja sheria za JMT ndo nitakua na hofu zaidi ya pale ni privacy tu ukitegemea huku tunaandika vingi vingine vya uongo sasa unahofia anaekujua akiona inakuaje
Kwani kuna tatizo gani mpaka watafutwe wakamatwe?
 
Mimi humu nakuona kama fesibuku,insta na kwingine,picha naweka tu kama kawaida na maisha yanasonaga Waache kina kigogo wajifiche bana sio sisi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Ndio hivyo mkuu. Hakuna siku imenipita bila mazoezi. Hata nikisafiri nikifika niendako naingia gym
Safi sana [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…