Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

somewhere.....kila nikicrop inakataa natuma hivi hivi kwani natafutwa???View attachment 1220405
Ngoja nkusaidie.. Hahahaha... Japo haina maana tena
IMG_20191001_112421.jpeg
 
Wanapenda kutishana sana. Sasa kama mimi nianze kuogopa kukamatwa kweli?
Kwa kosa gani? Labda kama kuwa JF ni kuvunja sheria za JMT ndo nitakua na hofu zaidi ya pale ni privacy tu ukitegemea huku tunaandika vingi vingine vya uongo sasa unahofia anaekujua akiona inakuaje
Kwani kuna tatizo gani mpaka watafutwe wakamatwe?
 
Mimi humu nakuona kama fesibuku,insta na kwingine,picha naweka tu kama kawaida na maisha yanasonaga
Wanapenda kutishana sana. Sasa kama mimi nianze kuogopa kukamatwa kweli?
Kwa kosa gani? Labda kama kuwa JF ni kuvunja sheria za JMT ndo nitakua na hofu zaidi ya pale ni privacy tu ukitegemea huku tunaandika vingi vingine vya uongo sasa unahofia anaekujua akiona inakuaje
Waache kina kigogo wajifiche bana sio sisi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Ndio hivyo mkuu. Hakuna siku imenipita bila mazoezi. Hata nikisafiri nikifika niendako naingia gym
Safi sana [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109]
 
Back
Top Bottom