Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Ooh Sawa nimeelewaNdio.
Hii mwalamusha sanasana inatumika asubuhi.
Unajibu panandi.
Mwaghona Ni Muda wowote unapokutana na mtu kwa Mara ya kwanza.
Unaweza ukajibu hivyohivyo "mwaghona" au ukajibu" ena"
Pia zinaweza kutumika zote kwa pamoja..ikianziwa na mwaghona
Ukijibu,msalimiaji anaongeza na hiyo "mwalamusha" unajibu "panandi"
Anaweza kuongezea "ndagha" unajibu "ena"