Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Hapana mimi sio mfupi... Mimi ni mrefu kwenda chini[emoji23][emoji12]
Nawe pia pumbavu kumbe ni kubwa halafu unasumbua wadogo zako.pumbavuuuu kumbe dogo sana unasumbua wakubwa humu shenztype
Nakusemea kwa cha Arusha unataka kunikana hadharaniKuanzia leo huwi tena rafiki yangu hadi utimize masharti ya urafiki.
Kweli, ukajua mimi ni zee la nyeti?Hapana
ama kweli maana sio kwa raba iyo afu juu umejipigilia koti la kaunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kidigitali zaidi
Nakusemea kwa cha Arusha unataka kunikana hadharani
ushawahi kuona mpare mrefu, hasa wa lushoto??Ila we jamaa mfupi kichizi 😝😝😝
Huyo sio mgangaSangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
nimescroll hapa kutafuta picha yako now niko page ya 5 sioni kitu
NdioKweli, ukajua mimi ni zee la nyeti?
Tuma magoti nione kama ni meusi basi nitajua moja kwa moja unavuta bangi na unabwiya ugoro.Nitume ya eneo gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mtu gani?Huyo sio mganga
Ndio
Inaoneka we ni bonge la hb[emoji39]Sangoma usiniroge. View attachment 1217189
DuuuhWewe si huyu kweli..?[emoji41][emoji41]