Selfika na JF: Snap it. Show it

numefuatilia huu uzi nilichokuja kukigundua ni kwamba
Mosi:kama wewe hufahimi sana hapa hata ukituma picha yako hakuna atakae jadiri yaan zinajadiliwa picha za uyu mshana tu
Mbili:nilivyo elewa mimi ni kwamba unajiself pale ulipo yaan apo apo sasa watu wanaenda kutafuta picha gallary mpaka google uko
tatu:watu wameamua kabisa kwenda kuvunja kabati za nguo zao nakuchukua nguo nzuri kuzidi zote ndio anapigia picha wakati lengo lilikua ni kuona daily life syle yako
mwisho:kaka mshana kwa uo mwendo wako utawala wengi sana humu maana umeanza ujinga wakutoka nje ya lengo yaan umevuka mipaka mpaka kupost misosi yako
nb:kama wewe hufahamiki ata usijisumbue kupost kapicha kako maana hakuna ata atakae reply post yako
 
Brother huku ni chit chat relax jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…